Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri anawatangazia wananchi wote zoezi la uuzaji wa viwanja na mashamba yaliyopimwa katika eneo la mnyuzi linaendelea.Mradi huo upo 25km kutoka Korogwe Mjini au 4km kutoka Maguzoni barabara ya Segera Tanga. Shamba ekari moja ni Tsh. 800,000, Viwanja 1sqm ni Tsh 1000 kwa makazi, 1200 makazi biashara, 1500 biashara, huduma za jamii 1000 na viwanda vidogo 3000.
KARIBUNI SANA KOROGWE KWA AJILI YA KUJIPATIA VIWANJA NA MASHAMBA
Kwa Mawasiliano :
0714581867
au
0712579196
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa